Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,202
- 1,296
Waziri Ummy Mwalimu alihaidi kuwa kufikia mwezi December watakasema ameajiri walimu elfu 10.
Hiyo ilikuwa mwezi wa 8, mwezi wa9 majaliwa akasema kibari Cha ajira kimetoka,lakini mpaka Leo mwaka unaisha hakuna ajira.
My question is wamejenga madarasa lukuki Tanzania nzima lakini kuajiri walimu hawaajiri Sasa hao wanafunzi wote nani atawafundisha?
Vijana amkeni sio kwamba serikali haitaki kuajiri Ila pesa hawana, ndo maana wanatoa viajira kidogo Tena kwa ma press conference