Jamani kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, Kuna interview imefanyika eneo x Leo hii ya wa kwenda jkt. Sasa kulingana na sifa za dogo sisi Kama Wana ndugu hatukuweza kuwa na muda wa kusema dogo...
Rais Samia Suluhu ametoa kibali cha ajira ya watumishi 600 ambao wataajiriwa katika taasisi mbalimbali zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na utalii.
Kuna wakati mtu akienda chuo hataki kabisa...
Habari za saiz wadau,
Hivi ni kweli swala la rushwa lipo wakati wa usaili wa kupata kazi? Yaani kwa mwajiri kwenda kwa mwajiriwa au kutoka kwa mwajiriwa kwenda kwa mwajiri? Mfano wa rushwa izo ni...
Mungu, majirani na members nisaidieni. Msinipe hela bali kazi
Ni miaka 8 tu toka nihitimu chuo, pinch nayopitia si mchezo utadhani nimekaa miaka 20. Naombeni mnishike mkono nitoke kwenye hali...
Habari za majukumu wakuu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31 ninaishi Dar es salaam, Ninawaomba kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata kazi nitashukiru sana, Nimeambatanisha CV yangu tafadhali...
Habari,
Ikiwa kama vijana wasaka ajira au jobless
Una maoni gani kupitia mchalato wa ajira unaofanywa ma utumishi wa umma(psrs)
Je, una imani nao kwa asilimia ngapi?
Kitu gani kifanyike ili...
Haya yakizingatiwa angalau yatasaidia kuboresa mazoezi ya usaili yanayoendeshwa na Utumishi:
1. Katika upande wa mwombaji Waboreshe utoaji wa taarifa kama kuitwa, matokeo, ratiba na mabadiliko...
Uongozi wa Premium Institute unahitaji kijana mwenye uwezo wa Shughuli ya stationery na awe na sifa zifuatazo:-
(i) Typing speed
(ii) Ability to apply and use all basic computer programs
(iii)...
Waungwana poleni na harakati za kuutafuta mkate wa kila leo. Naomba mwenye sheria ya utumishi wa umma inayofanya kazi kwa sasa anisaidie kuipata.. Aksante
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara zinazojitegemea, Wakala wa Serikali, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ni kweli maana naona Kuna mdg wangu ameambiwa Sasa ameshaanza safari kwenda kufanya usahili sehem nyingne asijepoteza muda wake naomba kuwasilisha
Position: IT Support
Line Manager: Manager; Service Delivery
Department: ICT
Location: HQ
Key responsibilities:
Providing 1st level Support for all issues coming to ICT Service Desk via Service...
Habari wakuu,
Kumekuwa kuna mambo mengi yanayowakumba watu wenye ulemavu wanaotafuta ajira hasa unakuta mlemavu amefanya interview ya written nakufauru vizuri lakini akifika kwenye oral interview...
Posho ya vijana wa mujibu na vijana wa kujitolea huwa sawaa nadhani hii huchangia kwa kiasi fulani kupitia kwa baadhi ya Vitu vya vijana wa mujibu wa sheria (kuluta).
Mana vijana wanao jitolea...
Habari za leo wakuu.
Naomba kuuliza swali kuhusu wasifu wa muombaji kazi (CV).
Mfn: una uzoefu wa miaka mitano (five years work experiences) halafu CV yako ina page almost 4 tu na hapo umejaribu...
Position: Hotel Supervisor
Start Date: 9/30/2023
Salary: Negotiable
Job Type: Full Time
Location: Moshi
Responsibilities
Supervise work at all levels (receptionists, kitchen staff,.) and set...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.