Inshu ya kuita watu kufanya interview Ili Hali wanajua kuwa Wana watu wao ikoje hii?

kj75

JF-Expert Member
Feb 17, 2019
491
590
Jamani kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, Kuna interview imefanyika eneo x Leo hii ya wa kwenda jkt. Sasa kulingana na sifa za dogo sisi Kama Wana ndugu hatukuweza kuwa na muda wa kusema dogo tumfaitie dogo Ili aende,tukajua atapasua

Maana kigezo Cha umri ndo Kwanza ana miaka 20 net ana namba ya nida pia vyeti vya kuzaliwa na academic Kiko vizur sasa tukamwambia nenda kapige maana Kuna mtu alituma maswali humu nikachukua nikampa akameza kweli alivyofika wakamuuliza maswali mawili kati ya Yale naimani amejibu vizuri.

Ila wametema Sasa hyo ni ngazi ya wilaya Sasa Kuna mtu anasema dogo aende mkoani je Kwa ujuzi wa haya mambo akienda mkoani atafanikiwa ?? Ni kuharibu nauri na muda?
 
Hata JKT wanawasumbua watu na interview?
 
Kadi ya Chama alikuwa nayo?
 
wewe wacha kuficha interview ni arusha walipiga jana poleni mkiambiwa mpaka connection muwe yanawaingia kichwani na akili mwenu akajaribu huko mkoani pengine wakamkubalia
 
Back
Top Bottom