Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wanajiita platinum credit Ikipita siku hawajatoa tangazo la kazi ni bahati sana. Sijajua wana tatizo gani!
1 Reactions
9 Replies
294 Views
Anonymous
WALIMU WA SAYANSI HAWANA POSHO YA UANDAAJI WA PRACTICALS KWA SHULE ZA SEKONDARI Sisi walimu wa sayansi tunaofundisha mfano Biology, Chemistry,Physics n.k katika shule za sekondari tunaomba...
3 Reactions
3 Replies
139 Views
Anonymous
Kero yangu ni suala la uhamisho Halmashauri ya Mji Handeni limekuwa kama vita, maboss wanakalia barua za Watumishi za uhamisho kuhama imekuwa kipengele kikubwa hapo.
2 Reactions
12 Replies
396 Views
Anonymous
Mimi ni Mtumishi katika Halmashauri ya Jiji la Tanga, pamoja na wenzangu wa Mwaka 2024, lakini hadi sasa, mwaka 2026 hatujalipwa fedha ya kujikimu, tupo zaidi ya watumishi 100 walioajiriwa kipindi...
0 Reactions
6 Replies
141 Views
Anonymous
Walimu ajira Mpya halmashauri ya Wilaya Ya MKALAMA-SINGIDA hatujalipwa Pesa zetu za Kujikimu Tangu Tumeripoti mwezi January 2026. Kila tukifuatilia Tumekuwa Tukipewa Majibu yasioridhisha kwetu...
3 Reactions
19 Replies
957 Views
Anonymous
Watumishi tuliopata ajira mwezi Julai 2022 tunaomba kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu kucheleweshewa kupandishwa madaraja licha ya kukidhi vigezo vya kisheria na kiutumishi. Tumekuwa tukiambiwa...
0 Reactions
6 Replies
351 Views
Mimi ni mtumishi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete [JKCI], taasisi hii inatupa wakati mgumu watumishi wake kupitia bosi wetu, Lakini kabla ya kufika kwa bosi kubwa, kuna watu hapo chini yake...
4 Reactions
12 Replies
964 Views
Habari ya wakati Huu ndugu WanajamiiForums. Kwamajina naitwa JOSHUA JAMES, mwenye ujuzi wa udereva kwazaidi ya miaka mitano nikifanya kazi ndani ya mkoa ba nje ya mkoa wa deresalaam Ujuzi , 1...
0 Reactions
0 Replies
98 Views
Mimi ni Mtumishi wa Serikali Kada ya Afya nipo Uyui Mkoani Tabora, nina maoni ambayo pia ni kama kero kwangu na kwa Watu wengi kuhusu mchakato wa Uhamisho wa Njia ya Online kwa Watumishi wa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Shalom Makamanda, Lile sakata la Ufisadi ndani ya CHADEMA likimhusisha Makamu Mwenyekiti wa Chama bado halijapoa baada ya wanachama kucharuka wakimuomba msajili wa vyama vya siasa kuingilia kati...
0 Reactions
4 Replies
103 Views
Anonymous (8b17)
SHIRIKA LA UMEME TANESCO SISI WAFANYAKAZI WA S.T.E BORESHENI MIKATABA YETU AU TUPENI MIKATABA YA KUDUMU. Habari sisi ni wafanyakazi wa shirika la umeme tanesco wa mikataba ya S.T.E kwenye shirika...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Anonymous
Watumishi wa ajira mpya katika Wilaya ya Momba, Mkoa wa Songwe, tunaomba msaada kuhusu malipo ya fedha za kujikimu ambazo hadi sasa hatujapokea. Tulielezwa kuwa fedha hizo tayari zilikuwa...
0 Reactions
7 Replies
313 Views
Anonymous
Wafanyakazi wa Kiwanda cha Saruji cha Maweni Limestone Limited kilichopo Maweni mkoani Tanga tunaishi kwa uchungu mkubwa, tulikuja hapa miaka iliyopita kama vibarua kwa ahadi ya kupewa mikataba...
1 Reactions
7 Replies
140 Views
Wadau, hebu tuzungumze kwa moyo mmoja… TRA waliomba mamlaka ya kuajiri ihamie kutoka UTUMISHI kuja kwao, wakisema wataongeza ufanisi na uwazi kwenye mchakato wa ajira. Lakini tangu waanze...
11 Reactions
83 Replies
5K Views
Anonymous
Watumishi katika Idara ya Sekondari ya Halmashauri ya Tarime Vijijini hatujalipwa fedha za likizo kwa wakati na kwa viwango vinavyostahili. Baadhi ya watumishi bado wana madai ya fedha za likizo...
0 Reactions
0 Replies
73 Views
Anonymous
Sisi huku Mbeya Jiji, Ajira Mpya elimu sekondari tunalipwa pesa ya kujikimu nusunusu na haitusaidii kwenye kuanzisha maisha huku ugenini mfano tumelipwa Sh 400,000 tu kati ya sh 1,105,000.
0 Reactions
0 Replies
72 Views
Anonymous (7abb)
Walimu wa ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Babati bado hatujalipwa fedha za kujikimu tangu tuanze kazi miezi mitano iliyopita. Hadi leo hatujapokea malipo hayo wala hatujapatiwa taarifa...
0 Reactions
0 Replies
136 Views
Anonymous
Halmashauri ya Wilaya ya Urambo sio Walimu tu hawajalipwa, sisi pia wa afya tulioajiriwa Februari 2026 hatujalipwa hela ya kujikimu na wakati huohuo wapo wameajiriwa Mei 2026 wamelipwa. Tukiuliza...
0 Reactions
2 Replies
68 Views
Naomba kufikisha kilio chetu kuhusu haki ya mafao yetu ya NSSF. Sisi ni wafanyakazi tuliokuwa katika Kituo cha Huduma kwa Wateja (Call Center) cha TANESCO, tulioajiriwa kupitia Kampuni ya Erolink...
1 Reactions
12 Replies
370 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…