Habari za muda huu, kwa wale walio wahi kufanya practical interview za utumishi, system administrator na networking please tupeane mwongozo, tupate angalau mwanga kidogo please msaada kujua...
Watumishi wa Idara ya Elimu ya Sekondari katika Halmashauri ya Ushetu wanaendelea kukumbwa na ucheleweshaji wa malipo ya fedha za uhamisho. Licha ya kupewa ahadi mara kwa mara kuwa malipo...
Kwa yeyote aliyewahi kufanya practical hususan kwa kada ya ICT (Database administration) naomba utupe mwanga kidogo, Je Inatumika DBMS System ipi? Postgre, SSMS, MySQL nk Je Practical nayo...
Habari ndugu zangu, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Watumishi wa hospitali ya rufaa ya kanda KCMC na serikali yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,tunaomba kero zetu...
Tunapenda kuwasilisha kero mbalimbali zinazowakabili watumishi wa Wakala wa Mbegu za Kilimo (ASA), ambazo zimekuwa na athari katika ustawi wa watumishi, morali ya kazi na ufanisi wa utekelezaji wa...
1. Wapigie utumishi au fika kwenye ofisi zao
2.Jaribu kureset password kwa email unayoikumbuka kwa kuiedit
3.hii ya tatu ni mwisho na wengi hamuijui lakini ukitaka nikwambie tuwasiliane personally...
Niliomba uhamisho bila kuomba vacancy request, lakini katika mlolongo wa mchakato kuna kipengele kilichoonesha:
Vacancy Request Not Budgeted / Destination Already Filled – hali hii ilikaa kwa...
Ndugu Wahusika,
Napenda kuwasilisha changamoto ambayo watumishi wengi wa umma wanakumbana nayo wakati wa kutumia mfumo wa e-Uhamisho katika kuwasilisha maombi ya uhamisho kati ya taasisi...
Nimekuwa nikichangia fedha kwenye mfuko wa NSSF kwa zaidi ya miezi 88.
Baada ya kuwasilisha madai ya kupata special lumpsum baada ya mkataba wa kazi kumalizika, nilipewa jumla ya kiasi kilekile...
Habari za muda huu wajomba! Naitwa Fareed age 26 Nimekuja Mdogo wenu Nàomba Kazi ya Udereva,
Elimu: Form Four Najua pia kutumia Computer&English Language
Driving Licence ✅
Cheti (VETA) ✅
National...
Jambo la kushangaza ni kuwa mfumo wa ESS unashindwa kutuhudumia upande wakuuza mikopo, uhuru wa kuchagua benki ni wa wazi na riba zinaonekana, tunaiomba Serikali imalizie ama i-activate mfumo wa...
Baada ya kumaliza chuo tu.
01.Kazi yangu ya kwanza ilikuwa ni receptionist Zanzibar.
Niliacha kwasababu niliona ni kazi ya kunyenyekea sana watu, ukiona mzugu umpokee umchekee upokee mabegi meno...
Watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha tunalalamikia kuchelewa kwa malipo ya fedha za likizo, huku baadhi yetu wakiwa hawajapokea stahiki hizo kwa zaidi ya miaka mitatu.
Watumishi...
Wakubwa shikamoo, samahani kwa usumbufu.
Nimemaliza mwaka wa tatu Chuo Kikuu cha Mkwawa – Iringa, nikisomea Biology na Geography, pamoja na kozi fupi ya Lugha ya Alama (kwa viziwi).
Kwa kweli...
The Judicial Service Commission has published a new recruitment listing featuring six vacancies across several professional and administrative fields. The opportunities cover accounting and...
UNESCO’s Tanzania careers results contain two Consultant listings in Dar-es-Salaam. Although both use the same official job title and the same consultant contract type, they are separate...