Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wafanyakazi wa TFS wanawanyanyasa sana wafanyakazi wa mikataba. Kwenye malipo ya madokezo, unakuta wanawasainisha kuwa watalipwa laki moja na nusu, lakini ukienda kusaini unapewa Sh20,000/= tu...
0 Reactions
3 Replies
100 Views
Heshima yenu wana JF popote mlipo, I hope mko sawa, mimi ni kijana wa kiume umri wa miaka 26. Naombeni kwa yeyote anayeweza nisaidia kupata kazi, kibarua, Ajira mwenye connection ya mchongo...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa watakaopata changamoto za kuomba kazi kama kusahau password,email, nk tuwasiliane kwa 0 792 715 343 au 0623446608(Whatsapp na kawaida) Hizo ni baadhi tu
1 Reactions
4 Replies
127 Views
Anonymous
Sisi watumishi wapya Wilaya ya Ngara walitulipa pesa nusu, mfano Diploma na Degree tuliovijijini walitulipa Sh 80,000 per day kwa siku saba badala ya Sh 130,000 per day kwa siku saba. Pia...
1 Reactions
1 Replies
79 Views
Anonymous
Mwaka 2025 nilipitia changamoto kubwa sana maishani mwangu, hali iliyosababisha kupata msongo mkubwa wa mawazo. Kutokana na hali hiyo, nilifanya uamuzi wa kuchukua mkopo wa shilingi milioni 20 ili...
24 Reactions
92 Replies
2K Views
Serikali imekuwa ikieleza kuwa haiwezi kuajiri vijana wote waliomaliza masomo na kuwahimiza kujiajiri, jambo ambalo tunalikubali. Hata hivyo, changamoto kubwa ipo kwa wahitimu wa Diploma in...
0 Reactions
2 Replies
227 Views
Anonymous
Tunaomba wahusika wanaosimamia malipo ya vibarua katika Jiji la Tanga watulipe fedha za kazi tulizofanya katika kipindi cha Julai na Agosti. Tunaishi kwa ugumu kutokana na gharama kubwa za...
0 Reactions
0 Replies
23 Views
Kuna mambo mengi hua hayajui ukiwa kama mfanyakazi unapoanza kazi mpya hasa kwenye nyanja za tabia na namna ya ku-handle matatizo wakati wa changamoto. Amini hili, kabla hujafahamu namna gani...
0 Reactions
3 Replies
76 Views
Anonymous
Waajiriwa wapya katika Halmashauri ya Mji Rufiji, tangu tulipoajiriwa mwezi wa nne 2026, hadi sasa hatujalipwa mshahara wala fedha za kujikimu. Hali hii imetufanya tupate changamoto kubwa katika...
0 Reactions
0 Replies
51 Views
Anonymous
Mimi ni mtumishi wa Serikali ninayefanya kazi jijini Dodoma. Mke wangu pia ni mtumishi wa Serikali chini ya TAMISEMI, akifanya kazi katika Halmashauri moja mkoani Katavi kama Afisa Tabibu Daraja...
3 Reactions
3 Replies
145 Views
Anonymous
Watumishi wanaohama kutoka Halmashauri moja kwenda nyingine wanakabiliwa na changamoto ya mfumo wa PEPMIS, ambapo wanapohamishwa, asilimia zao za utendaji kazi zinaonekana kuanza upya kutoka...
1 Reactions
0 Replies
120 Views
Habari Naitwa Asadu Haji natafuta ofisi ya kutengeneza sofa mimi ni fundi sofa kwa anayeitaji fundi mawasiliano 0688000153 nipo teyari kwa Interview
2 Reactions
1 Replies
38 Views
Habari Naitwa Asadu haji Naishi Dar es salaam Natafuta Ofisi Ya Kutengeza Sofa Mimi Ni Fundi Kwa Anaye Itaji Fundi Sofa Kwa Mawasiliano 0688000153 Nipo Tayari Kufanya Interview
0 Reactions
0 Replies
59 Views
Kinyozi anahitajika dodoma akabidhiwe ofisi.kama uko interested nicheki PM
0 Reactions
5 Replies
114 Views
Anonymous
Watumishi wa Hospitali ya Wilaya Mbinga (MDH) hatulipwi stahiki zetu, ikiwemo fedha za uniform, extra duty, likizo, duty na call. Watumishi tunaishi maisha magumu sana huku Katibu, kila akiulizwa...
0 Reactions
4 Replies
86 Views
Anonymous
Utumishi wa Umma wafafanue kuhusu kushuka kwa malipo ya muda wa ziada kulingana na waraka walioutoa mwaka 2024 kuhusu posho za on-call. Je, waraka huo ulilenga kupunguza maslahi ya watumishi au...
0 Reactions
0 Replies
51 Views
Anonymous
Nahoji, kuchelewa kwa mchakato wa usaili wa nafasi za ajira za Utumishi wa Umma husababishwa na nini hasa? Inawezekana mtu akatuma maombi ya kazi leo, tarehe 27/07/2026, lakini majibu ya kuitwa...
0 Reactions
1 Replies
227 Views
Anonymous
Ninaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu kozi ya Community Development for Water Supply and Sanitation (CDWSS) inayotolewa na Chuo cha Maji (Water Institute) chini wa Wizara ya Maji. Kozi hii ni...
0 Reactions
2 Replies
99 Views
Habari JamiiForums, Mimi ni mwanafunzi kutoka CBE na nimepata nafasi ya kufanya field NBC Bank, ambapo nimepangiwa kitengo cha Direct Selling cha kuwasaidia wateja kufungua akaunti za benki...
0 Reactions
3 Replies
215 Views
Anonymous
Fedha za OC (Other Charges) zinalenga kuwezesha uendeshaji wa shughuli za ofisi, ikiwemo kugharamia stahiki mbalimbali za watumishi zinazohusiana na utekelezaji wa majukumu yao. Cha kusikitisha...
0 Reactions
2 Replies
72 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…