Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wakuu..!! Kama mnavyojua sasa Serikali ipo kiganjani kwa kuthibitisha hilo, kwa upande wa utumishi wa Umma mambo yote ya kiutumishi yanafanyika kupitia mtandao(ESS). Hivyo basi nimejaribu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani niko Dar hapa naombeni please nisaidieni conection ya kazi please 0625544723
0 Reactions
7 Replies
703 Views
WALIMU SOMENI HAPA Difference Between an Aptitude Test and a Memory-Based Test Aptitude tests and memory-based tests are used for employment assessments, but they evaluate different abilities...
5 Reactions
31 Replies
6K Views
Habari za majukumu wana JF, Nina ujuzi wa masuala ya computer, hivyo natafuta kazi yoyote inayohusiana na IT au hata isiyo husiana na IT
3 Reactions
2 Replies
525 Views
Interested parties are hereby invited to tender for the Survey, Supply, Installation, and Commissioning of Battery Bank and Inverter System at the School of St Jude – Moshono Campus. For more...
0 Reactions
1 Replies
533 Views
POST INSTRUCTOR II - PRINT MEDIA - 1 POST EMPLOYER Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) APPLICATION TIMELINE: 2024-10-04 2024-10-14 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES To assist...
0 Reactions
1 Replies
285 Views
POST INSTRUCTOR II - MUSIC - 1 POST EMPLOYER Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) APPLICATION TIMELINE: 2024-10-04 2024-10-14 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES To assist Senior...
0 Reactions
1 Replies
328 Views
POST GAMES TUTOR II - 4 POST EMPLOYER Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) APPLICATION TIMELINE: 2024-10-04 2024-10-14 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES I. To assist senior games...
0 Reactions
1 Replies
402 Views
POST ARTISAN II -(CARPENTER) - 1 POST EMPLOYER Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) APPLICATION TIMELINE: 2024-10-04 2024-10-14 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To...
0 Reactions
1 Replies
355 Views
Tusichoshane.. Hawa utumishi Kazi imeshawashinda, nao wanahitaji kufanyiwa interview. Kada ya afya tangu wafanye usahili Mwezi Sasa unaisha. Waalimu tangu waaplai Mwezi na nusu Sasa. Kada zingine...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari, Mimi ni recent graduate wa Bsc. Environmental Sciences and Management kutoka SUA. Naombeni mnishike mkono kwa yeyote mwenye kazi ya halali walau nipate chochote kitu. Natanguliza...
6 Reactions
92 Replies
3K Views
Mzuka? Naomba niulize wana jukwaa kuhusu swala la overtime kwenye ajira. Hivi overtime huwa inakuwa na makato yoyote kama Nssf au mwajiriwa anatakiwa apewe overtime yake kama ilivyo? kabla...
0 Reactions
5 Replies
527 Views
Nina mdogo wangu binti, miaka 28 akiwa na uzoefu wa miaka 2 ya kazi. Kwa sasa yupo Dar es salaam anahitaji kazi aidha ya kuajiriwa au mshauri binafsi wa masuala ya kisheria kwenye taasisi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu, nilipoteza cheti original cha chuo, nna copy tu ambayo iko certified. Nimetuma maombi ya kazi nmb na kcb bank nafasi zilizotangazwa hivi karibuni.je kutokua na cheti og kunaweza...
2 Reactions
10 Replies
748 Views
Je umuhimu wa Degree zetu upo wapi huku mtaani, tunasota na tunahangaika na mabahasha kutafuta ajira huku serikali ikiweka ahadi kede kede ambazo hazitekelezeki Haya hata hizi kazi mbalimbali za...
11 Reactions
48 Replies
2K Views
We invite reputable Class 6 and above building contractors registered with the Contractors Registration Board (CRB) to submit tenders for this project. Guidelines and further details will be...
0 Reactions
0 Replies
400 Views
Kwa wale walioomba nafasi ya utendaji kwenye halmashauri mbalimbali majina yameanza toka Sasa hapa itakuwa ndo mahali pa kupeana taarifa mbali mbali. MASWALI YA BAHI WRITTEN/WRITTEN LEO TAR...
6 Reactions
59 Replies
26K Views
Kazi kwenu wenye sifa
0 Reactions
2 Replies
626 Views
Kwanza niaze na salam ..Asalam alaikum wakubwa wa jamii forum Kwa majina naitwa saleh khamis Ninatafuta kazi ya Mwakilishi wa Mauzo | Agent wa Huduma kwa Wateja | cashir au kazi yeyote...
3 Reactions
1 Replies
363 Views
Acheni kutuchukua vijana Kwenda JKT mkatulimisha kisha mkatuacha MTAANI, Ajira zikitokea mnaajiri watoto wenu ambao hata JKT HAWAJAPITA, halafu mtaani wanajisifu, Watu wamekaa JKT miaka 3 halafu...
60 Reactions
146 Replies
11K Views
Back
Top Bottom