kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,389
- 4,935
Nina mdogo wangu binti, miaka 28 akiwa na uzoefu wa miaka 2 ya kazi.
Kwa sasa yupo Dar es salaam anahitaji kazi aidha ya kuajiriwa au mshauri binafsi wa masuala ya kisheria kwenye taasisi yoyote. Kwa yoyote aliye serious plz inbox kwa mawasiliano zaidi.