Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari wadau. Nina kazi ya kushona uniform za wanafunzi. Cherehani ninazo ila nahitaji mafundi wenye uwezo wa kushona. Dondoo za kazi ni zifuatazo; 1. Uniform ni za kike na kiume. Za Kike ni Gauni...
2 Reactions
7 Replies
908 Views
Habari wana JF. samahani kwa kuwakimbizeni. Short storyline. Nimepambana sana na application's za kupambania nafasi za kazi, ila sijabahatika ziaidi ya mara tatu. Ni mbili tu(Online business)...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu habari. Mimi ni muuzaji wa mayai ya kisasa , nauza Kwa bei ya jumla. Natafuta tender ya ku supply kwenye shule, hotels , dukani, kwenye malls , au popote pale. Naweza ku supply Kwa idadi...
2 Reactions
4 Replies
733 Views
Wanahitajika walio na Diploma au Degree ya Kwanza ya Radiography haraka. Wasilisha CV kupitia info@nyaishozicollege.ac.tz au tuma kwa Whatsapp 0745009792
2 Reactions
1 Replies
430 Views
Natafuta kazi yoyote Nina degree ya banking and finance, ninaishi Dar es salaam, ni mwanaume mwenye miaka 33.
2 Reactions
4 Replies
864 Views
Link hii hapa https://chat.whatsapp.com/K6A6IZtd9yBEWTpoyGZRHu
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hello, Ndugu naomba msaada kidogo, Mimi pia ni mala yangu ya kwanza kufanya application ajira portal kada ya MSAIDIZI WA HESABU II, maswali yangu ni:- 1. Majina yangu ya cheti cha kuzaliwa ni...
3 Reactions
19 Replies
5K Views
Anayeweza kutupa madini apo kutokana na experience.
1 Reactions
50 Replies
6K Views
Habarini ndugu..shikamooni wakubwa ! Natafuta kazi nina diploma ya pharmacy na pia nimesajiliwa na baraza la famasi. Mimi ni binti nina umri wa miaka 24,naishi Dar es salaam. 0710293470
0 Reactions
0 Replies
534 Views
Naonekana ntu ya kulalamika lakini hii ni zaidi ya kubeti. Tupo walimu elfu 28 tunaogombania nafasi 183. Kichwa changu nakijua ningejipa moyo kama Nafasi zingekuwa walau elfu Moja. Chuoni tuu...
17 Reactions
40 Replies
2K Views
Usaili walimu umehairishwa
1 Reactions
13 Replies
944 Views
Nimefungua uzi huu kwa ajili ya kupata shuhuda za wale waliofanikiwa kutoboa kwenye interview ya kwanza tu hapo PRSR. Watie moyo watu ambao wameonekana kukata tamaa!! Waeleze walijiandaaje hata...
1 Reactions
6 Replies
697 Views
Wakuu ninahitaji Sana kuwa usalama wa Taifa. I hold this qualifications. Mimi ni very humble na Mkimya na nina uwezo wa kutunza siri Sana. Nina uwezo wa kufanya intelijensia kujua huyu MTU ni...
23 Reactions
171 Replies
8K Views
Nitatolea mfano halisi ambao nimekutana nao mimi:- Kuna kijana mmoja alijitangaza mtandaoni anatafuta kazi, amehitimu mwaka juzi kwenye mambo ya IT. Katika kumuhoji kweli, ikaonekana ana shida...
26 Reactions
75 Replies
4K Views
Yani mtu kahitimu chuo ana miaka 6 ama 5 anaenda kufanya interview na watoto aliowafundisha shule kipindi yupo field ama aliowaacha shule muda mrefu Yani mtoto kamaliza juzi chuo anaenda kula...
16 Reactions
71 Replies
4K Views
Habari ya wakati wadau wa JamiiForums. Naitwa Godfrey Chuma, natafuta kazi yeyote mahali popote ilimradi tu nipate kitu cha kuweka mdomoni. Iwe viwandani, kwenye makampuni au hata kwa mtu binafsi...
2 Reactions
3 Replies
432 Views
Wakuu habari ya uzima, Nina imani mnaendelea salama na kwa wale mnaopitia changamoto kama kuumwa na n.k Mungu awaguse mpate kupona. Najua mtandao huu umefanyika baraka kwa watu wengi Sana...
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Nasikia ajira portal mambo tayari huko naona waalimu wengi wamekuwa Shortlisted, Haya tupeane mchongo kuhusiana na maswali ya Interview kwa kada hiyo ya ualimu. Tusaidiane ili tupate kazi wote...
2 Reactions
24 Replies
7K Views
kwema humu? kwa dunia ya sasa kupata kitu mpaka utoe kitu wazee. ukihitaji kazi huyo aliekuunganisha kwenye hiyo kazi kama ya mshahara wa laki 2 kwa mwezi basi na yeye utakuwa unamkutia elfu...
0 Reactions
1 Replies
325 Views
Back
Top Bottom