Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

About EA Fruits East Africa Fruits is a food-tech company focusing on the efficient distribution of foods from farm to market. It has an extensive operations and logistics team that works around...
0 Reactions
3 Replies
496 Views
Habari wana JF mimi ni dereva lakini leseni yangu ni daraja (D) na nina uzoefu wa mwaka na nusu sasa,nawezaje kupata ajira? Elimu yangu sio kubwa ila nimeishia STD VII kusoma na kuandika niko vizuri.
0 Reactions
25 Replies
13K Views
Kuna mdada yupo Mipango Dodoma, kama kuna mtu anaehitaj kufuliwa siku ya leo ndani ya Dodoma mjini, sharti nguo na kila unamtolea nje na hamna extra service. naenda mahali mteja alipo namba...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
About EA Fruits East Africa Fruits is a food-tech company focusing on the efficient distribution of foods from farm to market. It has an extensive operations and logistics team that works around...
0 Reactions
1 Replies
389 Views
Ni jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza siku nyingi. Leo naomba niliseme ili nyote mpate kulisikia. Kati ya mashirika ambayo hayajaajiri tangu mwaka 2019 ni pamoja na TBS. Mara ya mwisho waliajiri...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Poleni na majukumu ndugu zangu. Mimi ni kijana was kiume, nina umri wa miaka 27 na ninaishi Dar es salaam Tanzania. Ninahitaji kazi, aidha internship, nafasi ya kuanzia(entry level), kazi ya...
2 Reactions
2 Replies
477 Views
Habari Wana jukwaa. Mdada wa kazi anahitajika mshaara 50000 kwa mwezi Majukumu 1 kukaa na mtoto , kumuhudumia , kimpa chakula nb mtoto ana mwaka na miez 2 Sasa 2. Kupika 3. Kufanya usafi ndani na...
0 Reactions
7 Replies
620 Views
Habari Wana forums, Nina changamoto moja, niliitwa kufanya interview polisi kwa majina ya nida mfano Shabani ngosha Husein ila kwenye vyeti vyangu ni Shabani Husein ngosha. Na selection...
0 Reactions
1 Replies
409 Views
TBS - Tanzania Bureau of Standards (TBS) - Tanzania ARTISAN II (PLUMBING AND PIPE FITTING) at TBS October 2024 TBS - Tanzania Bureau of Standards (TBS) - Tanzania • Full-time Job description...
0 Reactions
1 Replies
663 Views
Ebwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah! Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa...
66 Reactions
403 Replies
19K Views
Mwenye taaluma au Uzoefu wa House KEEPING ANAHITAJIKA. Kituo Cha kazi ni Wilaya ya MBINGA RUVUMA. Kwa mawasiliano zaidi 0621538913 Mshahara Mnono mnoo. Karibu sana
0 Reactions
1 Replies
394 Views
Job Overview SALES AND MARKETING OFFICER– INFINITY BRANDS TANZANIA LIMITED Infinity Brands Tanzania Limited- is a Company offers online business growth training,capital sources and development...
2 Reactions
4 Replies
791 Views
walimu tunaosubili usahili wekeni possible hapa ili tukazie kazie kidogo. Onyo usikomenti kama huna possible au Ushauri.
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari za zenu wakuu. Kwa vijana waliofanya usaili wa kujiunga na jeshi la polisi July 29 2024 hadi august 2024 majina yametoka jana. Naomba kuuliza kwa anayefahamu kunakuwaga na batch nyingine au...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta binti wa kuuza dukani, ni duka la vyakula, pamoja na mpesa hapo hapo. Awe mzoefu, mchapakazi, mwaminifu na mwenye kujua hesabu. Biashara ipo Arusha. Kwa maelezo zaidi, piga namba...
1 Reactions
0 Replies
453 Views
Jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania limetangaza nafasi za kazi jeshini kwa vijana wakitanzania wenye umri usiozidi miaka 25 wenye elimu ya kidato cha nne na cha sita. Uandikishwaji huo...
5 Reactions
17 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu, Naomba kama kuna mtu yoyote anajuwa mishahara ya kuanzia ya mtanzania kwa kampuni ya Hope holding company limited ya kuanzia kama mhasibu wa kawaida ama administration ntashkuru
0 Reactions
4 Replies
749 Views
Back
Top Bottom