Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Usaili walimu umehairishwa
1 Reactions
13 Replies
944 Views
Nimefungua uzi huu kwa ajili ya kupata shuhuda za wale waliofanikiwa kutoboa kwenye interview ya kwanza tu hapo PRSR. Watie moyo watu ambao wameonekana kukata tamaa!! Waeleze walijiandaaje hata...
1 Reactions
6 Replies
696 Views
Wakuu ninahitaji Sana kuwa usalama wa Taifa. I hold this qualifications. Mimi ni very humble na Mkimya na nina uwezo wa kutunza siri Sana. Nina uwezo wa kufanya intelijensia kujua huyu MTU ni...
23 Reactions
171 Replies
7K Views
Nitatolea mfano halisi ambao nimekutana nao mimi:- Kuna kijana mmoja alijitangaza mtandaoni anatafuta kazi, amehitimu mwaka juzi kwenye mambo ya IT. Katika kumuhoji kweli, ikaonekana ana shida...
26 Reactions
75 Replies
4K Views
Yani mtu kahitimu chuo ana miaka 6 ama 5 anaenda kufanya interview na watoto aliowafundisha shule kipindi yupo field ama aliowaacha shule muda mrefu Yani mtoto kamaliza juzi chuo anaenda kula...
16 Reactions
71 Replies
4K Views
Habari ya wakati wadau wa JamiiForums. Naitwa Godfrey Chuma, natafuta kazi yeyote mahali popote ilimradi tu nipate kitu cha kuweka mdomoni. Iwe viwandani, kwenye makampuni au hata kwa mtu binafsi...
2 Reactions
3 Replies
432 Views
Wakuu habari ya uzima, Nina imani mnaendelea salama na kwa wale mnaopitia changamoto kama kuumwa na n.k Mungu awaguse mpate kupona. Najua mtandao huu umefanyika baraka kwa watu wengi Sana...
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Nasikia ajira portal mambo tayari huko naona waalimu wengi wamekuwa Shortlisted, Haya tupeane mchongo kuhusiana na maswali ya Interview kwa kada hiyo ya ualimu. Tusaidiane ili tupate kazi wote...
2 Reactions
24 Replies
7K Views
kwema humu? kwa dunia ya sasa kupata kitu mpaka utoe kitu wazee. ukihitaji kazi huyo aliekuunganisha kwenye hiyo kazi kama ya mshahara wa laki 2 kwa mwezi basi na yeye utakuwa unamkutia elfu...
0 Reactions
1 Replies
325 Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 28 , nina mke na mtoto mmoja ninaujuzi wa hotel management pia naweza kuendesha gari (sijasomea). Mwanzo nilikuwa na biashara ya M- pesa lakini nikadhurumiwa na matapeli...
12 Reactions
12 Replies
1K Views
Nikiingia kwenye account yangu kwenye sehemu ambako usaili utafanyika hakuna jina la kituo na badala yake wanaelekeza kuingia kwenye tovuti ya www.ajira. go.tz kwa taarifa zaidi lakini nako hakuna...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kuna baadhi ya waajiri wana tabia ya kuomba vitu vingi sana kwa mtu alietuma maombi ya kazi Mfano kuna taasisi flani waliwahi kutangaza kazi lakini kwenye usaili wanakuambia uende na barua tatu...
2 Reactions
3 Replies
615 Views
Habari Nina cheti changu cha form 4 kina madoa ila taarifa zote zinasomeka hakitaleta shida kuitwa kwenye interview ajira portal
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu nina mdogo wangu kamaliza chuo last year, grade IIIA, Kila kitu nilimuwekea ila mpaka sasahivi grade III wengi wamekuwa shortlisted for interview yeye Bado. Nimeulizia nimeambiwa kwenye...
4 Reactions
47 Replies
3K Views
Habari wanajukwaa, watu mnaoshiriki interview za kazi kama muombaji, HR au kama mratibu wa interview na kadhalika tunaomba mtusaidie tujifunze na kujiandaa vizuri. Ni ujuzi/skill gani ambayo...
8 Reactions
22 Replies
1K Views
Position: Radiographer Job Details Diploma in radiography or radiologic technology. A state license and certification to practice. Excellent communication, interpersonal, and patient service...
0 Reactions
1 Replies
495 Views
Most of job academic requirements in ajira portal exclude applicants. I suggest that the secretariat widen the window for applicants to be able to apply for most posts. For instance someone has a...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Habari za humu JF, natumai mko salama na mnaendeleza mapambano. Niende Moja kwa Moja kwenye ombi langu, naomba mwenye kazi ya usimamizi wa shamba lake, au kama Kuna mtu humu ndani anafahamiana...
0 Reactions
4 Replies
731 Views
Back
Top Bottom