hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,669
- 27,559
Wanahitajika haraka sana: Sales Manager & Technical Specialist (Heavy Equipment)
- Sales Manager – Uzoefu katika mauzo, uongozi, na kujenga mahusiano na wateja.
- Technical Specialist (Heavy Equipment) – Uzoefu katika matengenezo na ukarabati wa mashine nzito.