ssl Senior Member Joined Apr 20, 2013 Posts 138 Reaction score 103 May 1, 2013 #1 kama wewe ni mwajiri na unahitaji agronomist, basi umempata. Toa contact zako ili muwasiliane naye.
V valid statement JF-Expert Member Joined Sep 18, 2011 Posts 2,855 Reaction score 895 May 1, 2013 #2 wanataka waondoe lilie tope lilijaa kichwani mwa wahitimu wengi wa vyuo kuwa SUA wanatoa shahada za kilimo peke yake. Sasa mujifunze kuheshimu kila shahada, na mjue kuwa wahitimu wa SUA wana ufanisi na utendaji mzuri na hizo hizo shahada zao mnazoziita za 'kilimo'
wanataka waondoe lilie tope lilijaa kichwani mwa wahitimu wengi wa vyuo kuwa SUA wanatoa shahada za kilimo peke yake. Sasa mujifunze kuheshimu kila shahada, na mjue kuwa wahitimu wa SUA wana ufanisi na utendaji mzuri na hizo hizo shahada zao mnazoziita za 'kilimo'