Naomba msaada nina wasiwasi kuhusu nafasi za jkt

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
133
Naskia nafasi za jkt zimetoka ila naskia kuna nafasi 350
Hizo nafasi 350
ni kwa nchi nzima au mkoa mmoja tu?
Maana ukisema hivyo una maanisha kila wilaya wasizidi watu 3
AU
ulitaka kuandika 3500
ukasahau ukaandika 350?
 
@zuia me mbna cjaona na wala kuckia umeziona wp?naomba nijuze atamm natafuta.na cwamesema mpaka hpo baadae au vp?
 
Hali tete! Kila ki2 kimya kimya. Nafasi wametoa ila ni hatari 2pu. Jkt sasa bila k2 hupati k2.zaaman vijana waligoma kujiunga bt nw nidili na kupata ni dili.
 
Kuna dada mmoja kaja kwangu jana anaomba nimwandikie barua kwani kaambiwa apeleke fasta kimkoa wana nafasi 5 tu.

Akasema tayari watano tumeshapatikana ila tumeambiwa tulete barua japo uhakika kwake ni 100%
 
Hali ndivyo ilivyo" ila kunasiku kitanuka 2 taka tusitake.maana mtindo huu hauna tija hata kidogo. Ila me nimejitosa katika mchakato huu japo. Najua wameshatarishwa walio wao.
 
naskia nafasi za jkt zimetoka ila naskia kuna nafasi 350
hizo nafasi 350
ni kwa nchi nzima au mkoa mmoja tu?
Maana ukisema hivyo una maanisha kila wilaya wasizidi watu 3
au
ulitaka kuandika 3500
ukasahau ukaandika 350?

piga moyo konde utapata. Ila kulonda kazi ya geshi ugangamale
 
hp n kimya kimya mkuu kuna kaka yng mmoja alipeleka barua makao makuu then wakampigia cm kwenda kupiga tiz now yupo kwny mafunzo so ucpoulizia kwao kila mara inakula kwako.
 
nasikia infor toka kwa washaur wa mgambo hapa ofc za wilayan kwetu nafasi kwa intek ya pili 2013 ztatoka mwezi wa 6 au wa 5 mwshon
ukweli ndo huo kuwa zinatoka mwezi wa tano au wa sita xo plz punguzeni pressure tusubili mda mwafaka den tutajua kinaendelea nn
lakini ni mwezi wa sita ndo zinatoka kwa sababu hawa wa mujubu wa sheria wanapiga tizi miezi m3 tu den wanakuja kuchukua wa kupiga tizi miezi 6
 
hp n kimya kimya mkuu kuna kaka yng mmoja alipeleka barua makao makuu then wakampigia cm kwenda kupiga tiz now yupo kwny mafunzo so ucpoulizia kwao kila mara inakula kwako.

ALipigiwa simu lini? maana walioenda wapo toka march 7
 
Back
Top Bottom