Nafasi ya kazi - mpishi wa supu

Nafasi ya kazi - mpishi wa supu

cashmoney

Member
Joined
Dec 14, 2011
Posts
89
Reaction score
31
Tunatafuta mpishi mzoefu wa jikoni wa kupika supu za mkia, ulimi, utumbo, paya, kongolo, mbuzi, ng'ombe, pweza na mtori awe na sifa zifuatazo :

  • Umri usiopungua miaka 18
  • Awe Watanzania
  • Ajue kuongea Kingereza na Kiswahili kwa ufasaha
  • Awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja wa kazi ya upishi wa supu
  • Awe na historia nzuri ya utendaji kwa waajiri wake waliopita.


Kwa wahitaji, wanaweza kuwasiliana nasi kupitia :

Msimamizi wa Jiko - 0654 743 825
 
Duh!mshahara mtamlipa bei gani?
 
Back
Top Bottom