nadhani hiyo siku ya interview itakuwa full kuyatafuta magazeti na kuyatolea macho na ukimuona mwenzio kaka na gazet zaid ya dk 10 ku mind tu oyaa ....oyaaa unatakakufaulu peke yakoukiingia pale reception unaposubiria kuingia kwenye aptitude ukikuwa karatasi yoyote au maswali kuwa makini sana na ingia ukiyajua coz wanatabia ya kuiweka hiyo test pale mezani kwenye magazeti. Ila sio razima kuikuta.