Mimi nilikuwa mwalimu wa sekondari halmashauri fulani tangu 2008 hadi 2009 nilipoenda kujiendeleza.Baada ya kutoka masomoni 2012 sikurudi kituoni.Sasa wamenipigia simu kuwa wataniondoa kwenye...
for a long period now since june of 2012 nilikua nikitafuta kazi na sikuwahi kuitwa kwa interview hata siku moja na mfumo wangu mkubwa ulikua ni wa kwa kutuma kwa e mail ila ilpofika mwaka huu...
Wadau mimi ni mvulana jamani nimehitimu masomo yangu ya Secretarial and Computer naomba kazi. Nina Level II ya miaka miwili na Pia nina NABE Stage III, ninauwezo na uzoefu mzuri katika kazi ya...
Knowing that you have an interview coming up can be stressful. But if you use the time before your interview to prepare yourself, you will likely look and feel more confident during the interview...
Kama inafikia watu wanafaurishwa wakati vigezo hawakidhi! Hawa watu hawataweza ku compete hawajui chochote,,,vyeti vya form four na form six vitakavyosomeka 2012 na 2013 ni bora waajiri...
Mie ni mwalimu ila kutokana napewa mshahara USED basi inanilazimu nitoe ELIMU USED ..maaana watoto wetu wamekuwa kama bidhaa za mchina wa shule za kata au kiswazi tunaita (MAGOMA MOTTO) basi ni...
Asasi ya Sadiq Development foundation (SDF) Inatangaza nafasi za ajira fani zifuatazo:
1. Librarian: nafasi 2
KAZI:
Kusimamia na kuendesha library ya vitabu vya dini.
Sifa:
Awe na Diploma au...
World Vision Tanzania is experiencing a rapid expansion of its operations due to increasing grants acquisition portfolio and greater interest from different development partners.
As the result we...
Besides your resume, the first impression you will make on the interviewer is based largely on what you are wearing. Very often, your interview attire leads the interviewer to make a snap judgment...
Ivi aliyekua ana chapisha majina ana hasira na na majina kuanzia H nin maana post ya Finance officer grade II kafanya makosa mara 3 majina yanaishia G afu yanaanza upya tena A kwa mwenye taarifa...
Mimi ni mwanafaunzi nimemaliza kidato cha nne 2012 nimesomea masomo ya biashara book-keeping na commerce. natafuta kazi ya kuuza duka. malipo ni maelewano. mawasiliano yangu 0756525889
:::::::THIS POSITION IS NO LONGER AVAILABLE::::::
natafuta mtu wa kuingiza data kwenye website.
1. Atafanya kazi alipo (nyumbani au kokote awezako)
2. Awe na computer na modem yenye speed nzuri...
Habari Watanzania wenzangu,
Natafuta ajira kwa fani ya Computer engineering (IT).
Naweza kufanya vitu vifuatavyo:-
1.Networking
2.Maintenance of computer
3.Data entry and Data analysis...
wadau,
nimeitwa interview ticts.mwenye clue yoyote kuhusu interview system ya pale atupie humu.hawakunambia chochote zaidi ya neno interview tu sasa sijui ni aptitude au oral n.k.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.