Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 648
- 418
Mimi nilikuwa mwalimu wa sekondari halmashauri fulani tangu 2008 hadi 2009 nilipoenda kujiendeleza.Baada ya kutoka masomoni 2012 sikurudi kituoni.Sasa wamenipigia simu kuwa wataniondoa kwenye payroll.
Sasa naomba wadau mnifafanulie,ukishatolewa payroll ni kweli huwezi ajiriwa tena hapa nchini kwenye kada hiyohiyo?je ni kweli kuwa ukiruhusiwa kurudi inabidi uombe upya kazi?
Sasa naomba wadau mnifafanulie,ukishatolewa payroll ni kweli huwezi ajiriwa tena hapa nchini kwenye kada hiyohiyo?je ni kweli kuwa ukiruhusiwa kurudi inabidi uombe upya kazi?