OK sijui details za scenario yako lakini kwa kawaida watu hupewa mkataba ambao huonyesha stahiki zako katika hiyo kazi na kama huta ridhika nayo unaweza kuwaambia waongeze kutokana na wasifu wako na price-tag yako.
Ukiwa na Masters unajiamini na kufanya mambo yako kama unavyotaka kwanza mishahara inatofautia kati ya mtu na mtu....sasa mmtu akikwambia analipwa milioni 2 au laki 6 utataja hiyo?? Smart up brother
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.