moyo wangu
Member
- Nov 18, 2011
- 60
- 18
Habar zenu wakubwa...natafuta kaz yoyote ya muda kuanzia mwez wa 7 mpaka wa 9 sipend kukaa nyumban bila kazi...
unaelimu gani au fani gani? We diomond nn '' moyo wangu'' jast a joke...
miezi 2 tu??
huu ni ufisadi wenzako wana mika 3 wanasota home.
Kweli nimeamini ukiwa chuo unahisi maisha ya ajira marahisi sana ukitoka tu ajira unakutana nayo mlangoni.
Kuna kazi Marangu ya kulisha nguruwe