Equity bank

Equity bank

janee

Member
Joined
May 4, 2013
Posts
54
Reaction score
12
nani anajua mishahara ya equity bank,kwa level ya teller!nauliza kwa sababu hizi benki mpya hazieleweki jamani
 
Kama huna kazi nenda tu achana na scale kwa sassa!kama unayo ndio lazima uulize ,ulinganishe upate kuamua sahihi!
 
ninayo,nataka nifanye comparison,am in arusha nw,na nimeitwa dar...
 
nani anajua mishahara ya equity bank,kwa level ya teller!nauliza kwa sababu hizi benki mpya hazieleweki jamani

Kama wanalipa mishahara midogo anzisheni benki ya familia yenu ili mjilipe mishahara mikubwa!
 
Kama wanalipa mishahara midogo anzisheni benki ya familia yenu ili mjilipe mishahara mikubwa!

jaman km huna cha kusema,jct shut tha hell up!me nimeuliza kiasi,kama hujui unanyamaza tu!au unafanya huko hutak watu wajue unalipwa ngapi!acha hzo mkuu
 
nani anajua mishahara ya equity bank,kwa level ya teller!nauliza kwa sababu hizi benki mpya hazieleweki jamani

nitoe tu ushauri yaan kama una kazi baki tu arusha cz dar kufanya kazi tabu tupu wangu. Kupoteza mda mwing kwenye folen. Kuongezeka kwa mahitaji mengine ambay awali hayakuwepo yaan kifupi ukiwa dar purchasing power inapungua so kabla ya kutathmini mshahara zingatia na mengineyo though navyojua equity,baroda and advanc ni benk ambazo mshahara wake c mzuri labda kupatia experience.
 
mi nataka kujua ulitangaza lini kazi mbona kimya kimya ...
 
nitoe tu ushauri yaan kama una kazi baki tu arusha cz dar kufanya kazi tabu tupu wangu. Kupoteza mda mwing kwenye folen. Kuongezeka kwa mahitaji mengine ambay awali hayakuwepo yaan kifupi ukiwa dar purchasing power inapungua so kabla ya kutathmini mshahara zingatia na mengineyo though navyojua equity,baroda and advanc ni benk ambazo mshahara wake c mzuri labda kupatia experience.

thanks dear,bt nilipo pia hawana mpya,napatia tu experienc,dar cjapazoea na cpapend bt lazima nijaribu na huko!nyway thanks again
 
Kwa nini usijue kwanza wewe sh.ngapi zinakutosha ili utakayolipwa ulinganishe ya expectations zako ndio ufanye maamuzi
 
Kama wanalipa mishahara midogo anzisheni benki ya familia yenu ili mjilipe mishahara mikubwa!

Wewe hukutakiwa kuwa member wa JF akili zako ni za kitoto rudi tu FACEBOOK akili yako ikibarehe ndio uje uku.
 
Kuna jamaa yangu ameacha kazi hapo kwa sababu ya mshahara mdogo na muda mwingi wa kazi bila malipo ya muda wa ziada.
Kimsingi hawalipi vzr sana ila kama hauna shughuli nyingine ya kufanya kwa sasa na kama unahitaji kuwa na uzoefu basi unaweza ukaanzia hapo.Mishahara yao 400,000 - 425,000 kwa digrii kwa watanzania ila kama ni mkenya basi kuna ongezeko kdg.Fanya maamuzi kila la heri
 
Back
Top Bottom