Viwango vya mshahara

Viwango vya mshahara

Hyo itakuwa ni hela ya kawaida tu,, unaweza Kuta ni watu wa cheti Cha iv au plus certificate ya koz fulani
Vijana msiwe na matarajio makubwa sana taasisi za mishahara ya kuingilia kuanzia 2M ni chache sana ambazo ni giant (TRA,TCRA,eGA, CMA na nyingine chache)
Tena halmashauri ndio njaa kabisa laki 7 kavu na degree yako
 
Huko Halmashauri nasikia wengi wanasema Kuna njaa
 
Back
Top Bottom