Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
Natafuta kazi ya kusimamia Hotel/Guest House,Ukumbi wa shughuli yeyote.Nina uzoefu mkubwa na najua kuweka standard (add values) nina uzoefu wa zaidi ya miaka minane katika ngazi mbalimbali hadi kufikia kuwa Meneja.Ninajua kuandaa ripoti na kusimamia wafanyakazi,pia niko vizuri katika maeneo ya Masoko(Sales&Marketing) Uzoefu mkubwa wa Kompyuta pia. Nipo tayari kufanya kazi sehemu yeyote mjini hata porini.Mawasiliano mbuyi83@yahoo.com Note:Taaluma yangu ni Tourism & Travel Management.