Msaada ninatafuta kazi maeneo ya arusha

Msaada ninatafuta kazi maeneo ya arusha

PHILIPP DONIE

Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
61
Reaction score
15
Habari wana JF wenzangu,
MIMI nimemaliza kidato cha sita (mchepuo wa PGM) mwaka huu na kufaulu vizuri. ninaomba kwa yeyote aliye na kazi kama kufundisha, au kazi za kutumia nguvu anisaidie. Miaka 21, nina ujuzi wa computer, nimepitia JKT hivyo nimejengewa, nidhamu na uhodari katika kazi. Pia nina uwezo wa kujifunza kwa haraka na kuwa creative.
MAWASILIANO:0755 56 63 34
Asante:help:
 
Ukosawa mdogo wetu.
Lakini, hicho kikatuni baada ya asante kina maanisha nini!?
Au ndio nidhamu ulioipata JKT?
 
JKT imekujengea nidhamu na ujasiri wa kuiba ....?Nakushauri ufute hilo swala la JKT kwenye cv yako.
 
Back
Top Bottom