Kampuni ya Kimataifa ya Vemma Nutrition Company, ambayo kwa mara ya kwanza inaanza hapa Tanzania inapenda kuwatangazia wakazi wa jiji la Mwanza kuwa kutakuwa na mkutano wa Ujasiriamali wa...
Gates Cambridge scholarships are highly competitive, over 90 scholarships valued$13,000 each to be offered for any field of study (Cambridge university, uk)
Deadline for application December...
Habari wana jf wenzangu!, mtaani kunachosha na mtaji hatuna!! Nimeshaandika barua nyingi sana na CV lakini majibu hamna, Kwahiyo nawasilisha kwenu kama kuna mtu au kampuni inahitaji mfanya kazi...
TUNA KAMPUNI YA KUTOA MIZIGO / CLEARING AND FORWARDING SERVICES. NA UUZAJI WA MAGARI STRAIGHT FROM THE UNITED KINGDOM.
TUNATAFUTA AGENCIES AMBAO TUTAINGIA NAO CONTRACT KWA AJILI YA KUFANYA NAO...
Kama kuna mtu ameshawahi fanya online numerical/verbal tests za hawa jamaa BG group katika ile program yao ya undergraduate anaweza niunga mkono.
Unakuta test ni ya calculation mfano, hafu muda...
Jaman wanajamvi mm ni kijana mwenye miaka 27, nilihitimu mwaka jana bachelor of science in computer science (ICT) ninatafuta nafasi ya kaz ya kujitolea popote inapopatikana. Natanguliza shukrani
Je wewe ni mwanafunzi na unahitaji kipato cha ziada?je wewe ni mjasiriamali unahitaji kazi yenye maslahi mazuri?mshahara mpaka milioni na zaidi kwa mwezi,,,sio uongo na wala hakuna utapeli...
Kuuliza njia buku!kupelekwa bukujero!!
Haya mavitu haya kwakuwa nina access nayo kama vipi changamkia kama uelewi uliza pm au hapa poa kwa faida ya wote!UNDP Jobs - 39293- Operations Specialist
Kwa mwenye Taarifa za ajira kwa MAAFISA KILIMO, MIFUGO na FUNDI SANIFU tujuzane jamani mwaka umeisha tunasikia tetesi mwezi ujao na mara ifikapo kimya. Kwa mwenye taarifa rasmi basi.
Next week Interviews Scheduled:
Interviews Schedules for the next week is as follows:
5 August,2013:Transport Officer
6 August,201:Senior Internal Auditors positions
7 August,2013: Team Leader...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.