nisaidieni kupata ajira au mawazo ya ujasiliamali


N

norita

New Member
Joined
May 9, 2013
Messages
3
Likes
0
Points
0
N

norita

New Member
Joined May 9, 2013
3 0 0
nina degree ya uchumi gpa 3points na advance nilisoma eca cjawahi hata kuitwa interview tangu 2011.
 
Perry

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Messages
10,030
Likes
925
Points
280
Perry

Perry

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2011
10,030 925 280
Umemalza chuo gani?
 
Perry

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Messages
10,030
Likes
925
Points
280
Perry

Perry

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2011
10,030 925 280
Are u serious,mbona degree za uchumi ni dili sana mtaani?yani,hata ubank teller umeukosa?
 
M

masaumbe

Member
Joined
May 28, 2013
Messages
42
Likes
0
Points
0
M

masaumbe

Member
Joined May 28, 2013
42 0 0
Mkuu nicheki kwenye 0717332652 tupeane Mawazo
 
tricecriss

tricecriss

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Messages
226
Likes
25
Points
45
tricecriss

tricecriss

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2013
226 25 45
Hayo mawazo masaumbe si uyaweke hapa na sisi tupate chochote kitu.
 
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
15,350
Likes
6,383
Points
280
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
15,350 6,383 280
Usikate tamaa Mkuu jitume
Mungu ni Mwema Kila iitwapo Leo !
 
Elisha Chuma

Elisha Chuma

Verified Member
Joined
Jul 22, 2013
Messages
213
Likes
66
Points
45
Elisha Chuma

Elisha Chuma

Verified Member
Joined Jul 22, 2013
213 66 45
Sumbua akili utatoka, japo mlipewa elimu ili muajiriwe angalia na opportunity nyingine za kujiajili sio lazima kila alieingia chuo aajiriwe
 
Y

yune munu

Member
Joined
May 6, 2013
Messages
7
Likes
0
Points
0
Y

yune munu

Member
Joined May 6, 2013
7 0 0
Mi nimemaliza BBA mwaka huu sina wazo la kuomba ajila kwenye campuni lolote, ni tumie email yunemu4@gmail.co. tujaribu kupeana mawazo
 
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
7,230
Likes
8,726
Points
280
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
7,230 8,726 280
Nakushauri nenda kwenye jukwaa la business & economics kuna threads za ujasiriamali nyingi zitakusaidia tu ila chamsingi..umiza kichwa sana ndugu idea zinatafutwa hizi za kupewa na watu unaweza usiwe na moyo wa kuzifatilia ila ndugu..fikiria umiza kichwa sana aisee..!!
 

Forum statistics

Threads 1,272,942
Members 490,211
Posts 30,465,304