Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
Wanajamvi please please naomba mnisaidie
kuhusu hili kuna yeyote mwenyewe kujua kuhusu
Psychometric APS
Nimepata nafasi ya kufanya Interview with
one Internationa Organisation na moja ya vitu nnavyotakiwa
kusubmit ni Psychometric APS
najaribu kusearch online lakini nakupata na psychometric test are they the same
sijapata msaada useful kwa sasa!!!!!
Huwa zinakuwaje maana nimeambiwa I have to submit it
asap but I dont know where to begin I hope kupitia jukwaa
hil nitapata msaada!!!!!!!!!!
Natanguliza shukrani,yale ya kwa MMU tuyaache kule kule!!!!!!