Habari wana JF,
Azania Bank plc wametoa Kazi mbalimbali to the public,vijana waapply,Lakini ukweli na undani wa kazi zile tayari zina watu ambao wako pale internship for a long time,usijisumbue...
Hvi mtu akae uanzia asubuh mpaka jioni hufanyi kazi yoyote then unatafuta mitandao ya uongo na kwel kutafuta hela chek hii nadhan ni kati ya mitandao feki ya kukamata watu mtegoni...ukisoma utajua...
Habari wakuu!
natafuta sehemu ya kujitolea,nina degree ya procurement and supplies.
yeyote mwenye taharifa juu ya wapi naweza kupata hiyo nafasi anijulishe.
natanguliza shukurani.
Poleen sana na Majukum wadau.., Naomba wazoef mnfahamshe kdogo; mie nna degree yangu kuna coy 1 ya mafuta wameniita baada ya interview 2kaongee kuhusu Maslah so naomba nijue mishahara yao inakuaje...
Are you looking for a second stream of income or an additional job? Maybe you are ready to work smart and not hard. Home Based business can be successful and very rewarding opportunity for you...
Habari,
Nime graduate this year, Bsc Geology. Mwenye msaada nnapoweza pata Nafasi ya ku-volunteer ili niongeze experience? Maana hii fani experience huwa ina matter sana.
naitwa seleman mohammed seleman nime hitimu chuo cha kilimo na mifugo mati mtwara na kozi niliyo soma ni certificat in general agricalture my contant :phone no 0652784317
0786617846
emal...
Lion Guardians is a leading conservation organization working in East Africa to promote the sustainable co‐existence between people and lions by using cultural values, community...
kwa yeyote mwenye information kuhusu makala mbalimbali kweli magazeti, mfano mwandishi anafaidika kivipi, mchakato wake kwa ujumla unakuwaje.... "any one who knows"
nina diploma ya uongozi wa biashara (diploma in business adm). Natafuta temporaly job au kazi ya kujitolea kampuni au office yeyote..
Nisaidieni wadau.
wadau wa jamii forums,mimi mdau mpya wa jamii forums kutoka mbeya,naombeni msaada wenu,nina uzoefu wa computer pia nimeshawahi kuwa secretary katika mojawapo ya chuo hapa mbeya,Kwa mwenyewe...
Habari wakuu?
nina experience ya miaka 8 katika construction na mining.
kwa yeyote mwenye kampuni anayehitaji service ya Surveyor. Nipo free.
elimu ni bsc in land surveying ya Udsm.
ni pm kwa...
HI
Am humphrey richard looking for a job. I have certificate of information technology and O-level education.
contact me through:
hkamage@outlook.com
humphrey.5@live.com
0659-135260
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.