MSAADA: GEOLOGIST Volunteer

MSAADA: GEOLOGIST Volunteer

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,738
Reaction score
104,951
Habari,
Nime graduate this year, Bsc Geology. Mwenye msaada nnapoweza pata Nafasi ya ku-volunteer ili niongeze experience? Maana hii fani experience huwa ina matter sana.
 
Salute,Kwa upande wa water Drilling: Jaribu kwa wakala wa serikali DDCA (wana deal na Uchimbaji wa visima endapo watakuzingua tafuta Kampuni binafsi kam MASWI, MAJI TECH, Water solution ukibahati utapata uzoefu wa kutosha wa kelewa miamba etc.
Au kama kwa upande uchimbaji wa Madini ....
 
Kila mtu aliyemaliza anataka kuvoluntier,why? Acheni uoga una degree basi tafuta kazi coz ukisema unataka kufanya kazi bure unamkatisha tamaa mwenye diploma au certificate. Degree ya geology sio ya kusema umekosa kazi nchi nzima,tatizo kinachotuponza ni uvivu wa kutafuta. Pambana mkuu acha kudhalilisha field yako kwa kufanya kazi za bure while u dnt deserve that!!
 
Asante kaka.
Si unajua tume graduate mwezi juzi so ata vyeti bado, ndio maana tunavosubiri vyeti tunataka kufanya hivo. Ila thanks kwa kuni encourage bro, I rl appreciate it.
 
Habari,
Nime graduate this year, Bsc Geology. Mwenye msaada nnapoweza pata Nafasi ya ku-volunteer ili niongeze experience? Maana hii fani experience huwa ina matter sana.
Shukrani.
0759950757

Search kampuni za Gas na mining exploration like BG Tanzania, Statoil na migodi mbalimbali then jaribu kuomba huko. U never know what comes.
 
BG Tanzania wanarecruit graduate geologists ingia kwenye website yao uapply
 
Mtafutaji hachoki. Akichoka keshapata. Komaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom