Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Amazing kabisa! kufanya kazi online kwa masaa 2 tu kwa siku na kulipwa zaidi ya $ 500 kwa mwezi inalipa. Lakini wadau hebu angalieni job description kwenye link hii VisitProfit.com - Earning...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni mwalimu mwenye shahada na mzoefu kwa miaka 6...masomo ni biology na geography. Shule iwe dar..o-level,a-level. Hata english medium.....kama unafahamu wapi wanahitaji nitwangie 0718 317773
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamii kuna mtu yoyote anajuwa kinachoendelea kule TTCL kuhusu zile kazi za customer care?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
wandungu ninaelium ngazi ya chuo kikuu -UDSM nahitaji nafasi ya kufundisha Biology and Chemistry, contact 0757016611
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naitwa Abella Eustace nipo mwanza nina diploma ya secretarial and office management ninatafuta kazi hiyo au yoyote ile kwani kichwa changu kinashika haraka, nina shida sana na kazi tafadhali...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam wadau. Kuna NGO imeniita nikajitolee. Sasa imeniambia wao hawatanipa chochote zaidi ya chakula na malazi,usafiri nitajitegemea. Sasa wadau mnanishauri vipi hapo? Kwa sasa nipo mjini sina...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi ni mdada ambaye nina utaalam wa kuandika script za filamu pamoja na kutunga ideas za filamu hizo, mpaka sasa nimeshaandika filamu zangu nyingi tu ila sijaweza kuzicheza kutokana na sababu...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Je wewe ni mtaalam wa social networks? kama ni ndio basi kazi hii unaiweza na inalipa (mimimum US$ 400) per month. Kwa maelezo ya kazi click link hiyo hapo chini uanze kufaidika! VisitProfit.com -...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu,naomba kujuzwa interview za PKF zikoje?Mshahara je kwa assistant Auditor ikoje?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Poleni kwa majukumu ya kazi, mm ni mtaaluma katika shule mojawapo hapa jijini Tanga, nahitaji mwalimu wa masomo ya Language I na II kwa A level. Sifa Za Awali: Awe amehitimu elimu ya chuo kikuu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
kampuni ya wabantu,inatangaza nafasi za kazi kwa wenye taaluma ya sales and marketing.muombaji anatakiwa awe na uzoefu usiopungua miaka miwili,kwa mawasiliano wasiliana nasi kwa simu.0755907839...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu habar, mimi ni kijana wa miaka 24,nina matokeo mazur SANA ya bodi ya Ugavi (Psptb),nasaka ajira sehemu yoyote. Iwe internships au employment,kwa mawasiliano 0752422250. Na...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Syntek Global the global fuel treatment has entered in Dar es salaam with their flag ship product Extreme Fuel Treatment (XFT). The product is a concentrate of several fuel treatment additives...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzanian talented young man looking for job in Hospitalityindustry (Tours Company, Hotel/Lodge/Camps and Travel agent) Over 8 years of successful operations in Hospitality industry from Tours...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
mi ni kijana wa miaka 19 nna elimu ya kidato cha 4. natafuta kazi kama hizo apo juu au hata duka la kuuza simu na nyngne zinazoendana na hizo.. Nipo dar mawasiliano zaidi 0714499248
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania Breweries Limited Arusha walitangaza post za Trainee for graduate positions ktk vitivo kadha ambavyo ni Engineering na Packaging,lkn mpaka sasa cjackia tetesi zozote za kuita watu coz...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
wanajamii naomba mnijulishe any graduate program kwenye field ya account/auditing/finance
0 Reactions
0 Replies
911 Views
MESCO T. LTD is hereby announucing various job vacancies to qualified Tanzanians. For imformation on the post tittle, qualifications and things to enlcose in your application, please click to the...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
hawa jamaa uku aplly online hazifiki
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nipo musoma na ninaweza kuja dar hata leo
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom