Habari wakuu?
nina experience ya miaka 8 katika construction na mining.
kwa yeyote mwenye kampuni anayehitaji service ya Surveyor. Nipo free.
elimu ni bsc in land surveying ya Udsm.
ni pm kwa mawasiliano zaidi. Shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.