Wanahitajika mahouse girls

Wanahitajika mahouse girls

kishegheni

Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
21
Reaction score
85
Wanahitajika housegirls (wasichana wa kufanya kazi za nyumbani), awe amemaliza darasa la saba na kuendelea, mwaminifu na mwenye heshima
 
Taja mshahara kwanza, na kima cha chini sekta binafsi si unakijua?!!!!! haya taja mshahara kwanza
 
nimependa prular ya house girl katika heading yako..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom