Msichana wa kazi za ndani!

Mom Josh

New Member
Dec 25, 2013
2
0
Nahitaji msichana wa kazi za ndani na kulea watoto
awe na upendo na watoto
awe anajua kupika na kufanya kazi zote za ndani
kazi maeneo ya tabata kimanga
mshahara naanzia tsh 40000
namba ya simu 0716251616
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom