Binafsi naipenda hii kazi ya zimamoto, maana inawafaa wale ambao HAWAPENDI RUSHWA au mipango ya WIZI kazini maana naiman hakuna vitu kama hivyo kwao, wenyewe ni kuzima moto na kuokoa maisha ya raia na mali zao, siwasikii wakiwakamata wezi au mishe mishe kama hizo, labda walio ndani wanajua zaidi, ila kwa wale wazalendo na wapenda kazi zisizowapindisha na maagizo ya Mungu nahisi hii imekaa poa zaid. Kila la kheri kwetu sote.