Wahuni hao hata mi nliapply mpaka nimeshasahau kabisa hata kazi niliyoomba......
Dah c mchezo!
Mkuu una uhakika na hilo unaloongea?Ilikuwa ni zuga tu hiyo manake kama ni kazi watu walishapa hata kabla ya tangazo kuwekwa!!!!
kaka maombi yalikua mengi saana yaan kuzidi maelezo mwisho kuna kitu flan wakaamua am not so sure. mi mwenyewe nliomba pale af nkategemea itakua poa maana nlishawah kufanya field kama credit officer na aliyekua mkuu wa department yangu ndio akateuliwa kua acting CEO baada ya H.MBULULO kustaafu, nkategmea wanaweza kuniconsider ila wapi, jambia likatembea!
Mwambie mkuu afuatilie uone kama atajibiwa. Tz ni zaidi ya tuijuavyo!!!!Mkuu una uhakika na hilo unaloongea?