msaada:jinsi ya kuandika barua ya kuomba kujitolea

msaada:jinsi ya kuandika barua ya kuomba kujitolea

mwitu

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2012
Posts
856
Reaction score
200
jamani nimemaliza diploma ya procurement nataka nitume maombi ya ku volunteer ktk halmashauri,hospital nk. Msaada wangu jinsi ya kuandika na je nitumie lugha gani?
 
We ni darasa la saba. Hiyo diploma iko kwenye cheti na si kichwani. Tafakari...!
 
jamani nimemaliza diploma ya procurement nataka nitume maombi ya ku volunteer ktk halmashauri,hospital nk. Msaada wangu jinsi ya kuandika na je nitumie lugha gani?

Kabla ya kuomba msaada fikiria hata kidogo sometimes watu wanaweza kukujibu ovyo si kwa kukusudia.Kama wewe una diploma na umezaliwa Tz,unataka kusema hujui lugha za mawasiliano zinazotumika huko unakotaka kuomba maofisini?kama huna uhakika ni lugha gani fika kwenye hizo ofisi uwaulize.Otherwise kama ni halmashauri ni bora kiswahili kuliko kingereza.Ila kiswahili ni kigumu,CV kwa kiswahili inaitwaje vile?
 
Back
Top Bottom