Msaada: Anayefahamu kuhusu hili...

Msaada: Anayefahamu kuhusu hili...

Rahabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
5,527
Reaction score
3,345
Habari wadau wenzangu.

Jamani nauliza hivi mada za humu huwa zinakaa muda gani? Maana kuna thead zingine za tokea mwaka jana zipo, mfano nafasi za kazi za tarehe zilizopita bado zipo hadi leo. Sasa kunautaratibu gani wa kuzitoa?
 
Back
Top Bottom