Wadau nijuzeni kuhusu hili hawa TRAVEL PARTNER kuna nafasi wanatangazaga mara kwa mara najaribu mimi na rafiki zangu na wote tunakua na vigezo vyote ila hata kuitwa interview hakuna.
Nshaleta CV yangu hadi hapo ofsini kwao nkambiwa nimwachie secretary because HR anayeitwa bwana Mafwedha hayupo.
Nawapa ushauri wasi-enjoy watu, kama nafasi wanajua kuna watu wao na vimada wao wanawapa wasitangaze nafasi huku ni kupoteza wa watu muda.