Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 648
- 418
Wadau.
Naomba ufafanuzi kuhusu mashirika ya umma maana sielewi kwanini kiasi fulani yanaendeshwa kama private organisation lkn ni ya umma.
Mfano UDSM.UDOM.Kibaha Education Centre..Mfano hapo Kibaha kuna mkurugenzi wa shirika na yeye ndo mwajiri mkuu na mara nyingi haya mashirika wana viwango vya mishahara tofauti na serikali kuu.
Mfano mwalimu akimaliza chuo kwenda kufundisha shule ya kata hakuna usaili wowote.ila mwalimu huyo huyo akitaka kufundsha Chang'ombe sekondary.Kibaha Boys.etc (shule za mashirika ya umma)yeye atafanya usaili wa Tume ya ajira apass ndo apate kazi.
Sasa je muundo wa kazi wa haya mashirika ukoje?