Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,794
- 47,232
Wakuu kwa yeyote mwenye kupangisha Chumba,kiwe ni Chumba kimoja au na Sebule maeneo ya Chang'ombe kuanzia Serengeti/Kibasila Sec. Mpaka maduka mawili kinahitajika haraka sana.Shukurani!
Kaka tumia dalali
Nakushauri utumie madalali wapo pale maduka mawili stendiNafahamu hilo but hawa watu sio wazuri hata kidogo,hii itakuwa ni last options yangu kutumia madalali.
Nakushauri utumie madalali wapo pale maduka mawili stendi