grade 3
grade 3
mkuu kwa sasa ivi grade 2 hakuna,wanasubiriwa wa grad one wamalize tu,yani veta kwa sasa grade wameifuta
Sasa grade three si bado sana kiongozi ndo kwanza unajua what is resistor, color coding ila music wa umeme sio wa kitoto ongeza kitabu angalau grd one na ukiweza