Wakuu naombeni msaada natafuta ajira

Wakuu naombeni msaada natafuta ajira

njanoj17

Member
Joined
Apr 7, 2014
Posts
25
Reaction score
2
Natafuta ajira za HRM, HR Assistant, Administrative Assistant na Sales and Marketing katika Mikoa ya ARUSHA, KILIMANJARO, TANGA, MWAANZA na MANYARA...

Kiwango cha Elimu ni Shahada ya kwanza UTAWALA (Bachelor of Arts in Public Administration and Management),

Uzoefu wa miezi minne kama HR Assistant

Napatikana MOSHI kwa mda wote ntapohitajika nko tayari
 
Ukiandika hivyo inatosha kukutangaza na kupata ajira? Ningekuwa wewe ningejieleza in detail kidogo nikitaja kiwango cha elimu,maelezo binafsi, uzoefu na mengine ambayo ningeona yanafaa?
 
Asante saana kwa Ushauri wako mkuu naufanyia kazi
 
Nashukuru kwa ushauri wako mzur mkuu, ila niliweka hiyo Mikoa kwa maana ya kwamba ni Rahisi zaidi kwa mimi kupatikana ila sina maana ya kua ikitokea kazi MTWARA au SONGEA au pande yoyote ya Tanzania ntashindwa hapana, ntaweza na sichagui sehem ya kufanyia kazi naomba mnielewe hvyo wakuu...
 
Back
Top Bottom