the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,929
Mimi ni mwanafunzi wa horti tengeru nachukua diploma ya horticulture,naishi hapa hapa Arusha.VIPI nitapataje nafasi ya kufanya kazi temporary kipindi cha likizo ya kumaliza mwaka wa kwanza?