Shortlisted ya Uhamiaji

Shortlisted ya Uhamiaji

nyamofu

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
295
Reaction score
75
jamani nauliza kama kuna yoyote mwenye taarifa za uhamiaji. Kwani sielewi kinachoendelea
 
use refference huna kigogo wa kumtumia utalia Mjini hapa unaweza ukajikuta UNALIMA LAMI
 
Kuna mtu juzi kati kaacha kazi anasema kaitwa kuanza kazi uamiaji..nadhni ungefatilia zaidi
 
bado sana mpk wa nane bajeti haijapangiw. so bado sana tafuta kitu kingine cha kufanya huku unasubiria .
 
Back
Top Bottom