Mr mgeni
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 1,222
- 812
Habari zenu wana jf,naombeni msaada mwenzenu mimi ni dereva wa magari leseni yangu ni class E,nina umri wa miaka 23,elimu yangu kidato cha nne ninauwezo wa kuongea na kuandika lugha ya kiingereza na kiswahili kiufasaha.Nimezunguka sana bila mafanikio wazo likanijia kwenu wana jf.nipo Dar es salam,mawasiliano;