Umri Wangu miaka 27 elimu yangu degree najiskia vibaya aibu sana ninapovitaja hivi vitu viwili. Sio kama mm ni mvivu wa kufikiria hapana nimekua nikijaribu kufanya kila niwezalo kuweka maisha...
Habari za wakati huu…
Napenda kuuliza mimi nimesoma BA.Social work ajira portal wametangaza kazi za Community development kwenye qualification wamesema wenyee io au equivalent na kazi ipo kwenye...
Hii nchi ina vituko sana.
Kuna wageni kutoka marekani wametembelea Tanzania kujifunza mambo flani flani,boss wangu akaniteua mimi na wenzangu wawili tuwaongoze kwenye shughuli zao zilizowaleta...
Habari wapambanaji wenzangu.
Ebana kwa wale tulioomba nafasi za kazi GBT,majina yametoka tayari.
Mwenye experience ya written za hawa jamaa hasa kwa upande wa Gaming inspector na license officer...
Ule utaratibu mlio ufanya miaka miwili nyuma ulikuwa utaratibu salama labisa kumaliza tatizo la walimu vijijini, lakini huu utaratibu mlio urudisha tena huu una rushwa kwenye wilaya huko, walimu...
Wana JAMII FORUM naomba kuuliza je halmashauri huwa wanafanya kazi siku ya KARUME DAY?
KUNA mwajiriwa mpya wa serikali anahitaji kuripoti siku ya jumatatu nayo inaangukia karume day je watampokea..,?
Watu wanalalamika kuwa paper imevuja,but ukiuliza ipi iliyovuja wanakuambia ni TMO ii pekee,vipi hizo zingine nazo zilizofanyika mbona hatusikii zikilalamikiwa?,
Matokeo ya hiyo paper...
Habari wadau.
Binafsi ni mmiliki wa app ya kufundisha tution za masomo kwa njia ya mtandao
Ninatafuta walimu wenye uwezo mkubwa wa kuelewa na kufundisha masomo ya o level. Na shule ya msingi...
Milio ni Mingi Wakuu!
Hapa Moja haisomi Mbili haikai. Yàani nimevurugwa kishenzi.
Harusi yàngu ni Mwezi huu. Alhamdulullah Watu wamechangachanga na tumefikia Asilimia 90% ya michango. Hapa bado...
TUNAFUNDISHA MASOMO YOTE,
KWA A LEVEL NA O LEVEL.
KWA WALIO MBALI NA DAR ES SALAAM, HOSTEL ZIPO.
KARIBUNI.
0625012562
0782044028.
TUPO TEGETA, DAR ES SALAAM.
MASOMO;
PHYSICS
CHEMISTRY
MATHEMATICS...
Umri Wangu miaka 27 elimu yangu degree najiskia vibaya/aibu sana ninapovitaja hivi vitu viwili. sio kama mm ni mvivu wa kufikiria hapana nimekua nikijaribu kufanya kila niwezalo kuweka maisha...
Habari za Jioni WanaJf, Je naomba kuuliza Katika kesi za watumishi wa umma ambazo zinaenda Ofisi ya Rais (Ikulu) Je vielelezo vinatakiwa vipelekwe kwa muda gani pia kesi hiyo unatakiwa iwe solved...
Wakuu nipo tayari kwa lolote mwenye mchongo wowote nafanya Ilimrad pesa ztasoma za kutosha, hakuna kufeli toa kazi tupige hela mapambano mwanzo mwisho
Kazi yeyote unayoijua ww kasoro Moja tu ndo...
Habari naitwa Rashid
kama kichwa cha habari kinavyoeleza, Unaweza kuwa unahitaji usaidizi wa muda wa kuingiziwa data zako kwenye mifumo ofisini kwako Usisite Kunitafuta, Nina ingiza Data kwenye...
Salaam!!!!
Kwa wale walioomba nafasi mbalimbali zilizotolewa na TRA, Majina yametoka Kwa ajili ya Interview.
List ya Majina ipo kwenye PDF hapo Chini. (Mb 11.4)
Shukran.
Pia unaweza pitia Uzi...
Kwa maoni yangu, usaili ulikuwa wa haki, pepa ilikuwa fair, haikuwa ngumu wala haikuwa rahisi. Halafu ndo nini sasa kutuhesabisha vidole namna ile, wanatoa calculation halafu marufuku kutumia...
✍🏾NAFASI 400 ZA AJIRA QATAR – MADEREVA WA MABASI NA MALORI MAKUBWA!
Kupitia ushirikiano na Kampuni yetu Tanzu, Imarahorizon, madereva 400 wanahitajika kwenda kufanya kazi nchini Qatar chini ya...