Oxford University Press

Oxford University Press

MAUBIG

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,040
Reaction score
859
Habari ya mda huu wadau,

Naomba kwa mwenye taarifa aniijuze kuhusu nafasi ya Sales Executive kwa mikoa ya Shinyanga, Kagera na Simiyu iliyotanganzwa na hawa jamaa na kisha usahili kufanyika kama mwezi mmoja uliopita, kama wameisha ajiri watu kwa nafasi tajwa hapo juu. Naona sasa ni kitambo kimeshapita tangu usaili

Pleaseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee guys any updates
 
Kuna mahusiano gani kati ya kichwa cha habari na sales excutive tafuta kichwa cha habari kinachoendana na tangazo lako!! una matatizo makubwa sana wewe
 
Kuna mahusiano gani kati ya kichwa cha habari na sales excutive tafuta kichwa cha habari kinachoendana na tangazo lako!! una matatizo makubwa sana wewe

Acha stress za kutafuta Kazi wewe
 
Back
Top Bottom