LENJENTZ
Member
- May 21, 2013
- 69
- 10
Tunahitaji sales man mwenye uzoefu na aliesomea kazi hii,mwenye uwezo wa kuanzisha masoko mapya nje ya mkoa wa Dar-Es-Salaam ,anaeweza kwenda mikoani kila mara kufungua masoko mapya na kuyaendeleza, mshahara mzuri na maslahi mengine yapo.
Pia anahitajika sales woman au man ambae anaweza kuibua masoko mapya hapa Dar-Es-Salaam anaeweza kuzungumza kingereza kwa ufasaha na awe na gari yake mwenyewe.
Tafadhali kama huna vigezo usitume CV maana haitasaidia
mwenye vigezo atume CV info@lenjen.co.tz