Nashkuru Mungu Kapata kazi

Nashkuru Mungu Kapata kazi

Duly zura

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
411
Reaction score
37
Habarini wakuu nilikua na shemeji yangu alikua anahangaika kutafuta kazi kwa muda mrefu sana zaidi ya miaka miwili lakini mwaka huu mwezi february aliitwa kwenye usaili na hivi juzi kapigiwa simu kwamba ametumiwa barua na anatakiwa kuripoti kazini ndan ya siku 14 kwenye Wizara ya ujenzi akiwa kama Afisa ugavi daraja la2.Msikate tamaa ambao hamjapata kazi Mungu atawasaidia kwasababu jamaa alikua hamjui yeyote pale imetokea tu.
 
Neno la imani nimeipenda hilo. Hongera sana shemeji
 
Ee mungu tenda na kwangu pia,wewe pekee ndio msaada wangu nimeshawaza had nimechoka
 
Mm pia nakukikia na kukutegwme eheee MUNGU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom