Keys marketing company ikoje

Keys marketing company ikoje

Joined
Jul 25, 2014
Posts
83
Reaction score
36
Habari zenu,nimebahatika kuitwa kwa ajili ya interview kampuni inaitwa Keys marketing ila siijui malipo yake na utendaji kazi wake ukoje, kwa yeyote anaeijua naomba anisaidie kunifahamisha.
 
cjajua mm mwenyewe wameniita kwenye hiyo interview jumatatu saa 3 asbuhi
 
Back
Top Bottom